Artwork stating 'Education Destroys Barriers', 'We Demand Treatment', and 'I Need A Chance'

Search Results

You searched for: -

There are 7 results  for your search.  View and Refine Your Search Terms

  • Hamasa zilivyosaidia wakazi wa Rabai-Kilifi kuepuka homa ya Chikungunya (Part Two)

    Mbinu mbalimbali za kiafya zilitumika kuzuia kusambaa kwa mbu anayesababisha homa ya chikungunya kutoka kaunti ya Mombasa hadi kaunti jirani ya Kilifi.Hamasa hizo zilitolewa na wahudumu wa afya wa nyanjani wa kujitolea katika gatuzi ndogo 4 za Rabai.Ambapo wahudumu walizungukia nyumba kuhakikisha kuwa mazingira ni safi na kwamba hakuna maeneo ya mbu kuzaana.

    Read More

  • Jinsi Homa ya Chikungunya ilivyokabiliwa Mombasa Part - 1

    Kufuatia mkurupuko wa homa ya Chikungunya kaunti ya Mombasa, serikali ya kaunti iliweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na mkurupuko huo. Ikiwa ni pamoja na utumizi wa magari ya kupuliza dawa kuua mbu.Magari 5 yalitumiwa katika zoezi hilo ambapo yalizunguka maeneo bunge yote 6 kaunti ya moja kwa kipindi cha mwezi mmoja.

    Read More

  • Juhudi za kupunguza mkurupuko wa homa ya Dengue Mombasa Part -2

    Ili kukabili mkurupuko wa homa ya dengue, serikali ya kaunti ya Mombasa pia iliajiri vijana waliozibua mitaro ya maji taka na kutibu visima vya maji kila eneo bunge. Wakazi pia walishauriwa kujipaka mafuta ya kufukuza mbu na kuvaa nguo ndefu za kufunika miguu.

    Read More

  • Juhudi za kupunguza mkurupuko wa homa ya Dengue Mombasa Part -1

    Serikali ya kaunti ya Mombasa ilitumia wahudumu wa afya wakujitolea kutoa hamasa kwa jamii kuhusu umuhimu wa kuweka mazingira safi.Kila mhudumu wa afya alipewa nyumba 50 za kutembelea na kuwahamasisha wanajamii kuhusu maswala ya afya hasa homa ya dengue.Hatua iliyopelekea kupungua kwa visa vya homa ya dengue.

    Read More

  • Vyama vya pesa mashinani wakati wa Corona

    Ili kujiepusha na kubebewa vitu kwa kushindwa kulipa mkopo na riba za juu za benki na mifumo zingine rasmi za mkopo, wanawake wajasiria mali, wamejiunga na vyama vya nyanjani ambazo zinawasaidia kupata pesa za kuendeleza biashara zao wakati wa corona. Kupitia vikundi hivyo vya kuwekeza na kukopesha, wanachama wanatoa pesa kiasi flani kwa mwezi au kwa siku ambazo zinawasaidia kuimarisha biashara zao kupitia pesa za akiba na mikopo zisizokuwa na riba.

    Read More

  • Singe'nge ya Kasaine Inayotoa Suluhu ya Mzozo Kati ya Wanyamapori na Binadamu

    Singe’nge inayotengenezwa kwa mabati madogo madogo ambayo hufungwa kwa kamba na kuzungushwa katika mpaka wa shamba imesaidia kupunguza mzozo kati ya wanyamapori na binadamu katika kaunti ya Taita Taveta. Mabati hayo madogo yanapogongana hutoa sauti inayotishia ndovu na wakati wa usiku mabati hayo yanang’aa kiasi cha kuwatishia ndovu wasifikie mashamba hayo.

    Read More

  • Barakoa Maalum Kwa Walio na Changamoto ya Kusikia na Kuzungumza

    Barakoa maalum yasaidia zaidi ya watu 3,000 wenye ulemavu wa kusikia na kuzungumza kuweza kuwasiiliana ilhali wanajikinga dhidi ya virusi vya corona. Barakoa hizo zina sehemu ambayo imeundwa na plastiki inayoruhusu mtu aliye na ulemavu wa aina hii kusoma jinsi midomo inavyosonga maneno yanapotamkwa na kupitia ivo kuweza kuwasiliana.

    Read More