Juhudi za kupunguza mkurupuko wa homa ya Dengue Mombasa Part -2


Ili kukabili mkurupuko wa homa ya dengue, serikali ya kaunti ya Mombasa pia iliajiri vijana waliozibua mitaro ya maji taka na kutibu visima vya maji kila eneo bunge. Wakazi pia walishauriwa kujipaka mafuta ya kufukuza mbu na kuvaa nguo ndefu za kufunika miguu.

Related Stories