Hamasa zilivyosaidia wakazi wa Rabai-Kilifi kuepuka homa ya Chikungunya (Part Two)


Mbinu mbalimbali za kiafya zilitumika kuzuia kusambaa kwa mbu anayesababisha homa ya chikungunya kutoka kaunti ya Mombasa hadi kaunti jirani ya Kilifi.Hamasa hizo zilitolewa na wahudumu wa afya wa nyanjani wa kujitolea katika gatuzi ndogo 4 za Rabai.Ambapo wahudumu walizungukia nyumba kuhakikisha kuwa mazingira ni safi na kwamba hakuna maeneo ya mbu kuzaana.

Related Stories