Barakoa Maalum Kwa Walio na Changamoto ya Kusikia na Kuzungumza


Barakoa maalum yasaidia zaidi ya watu 3,000 wenye ulemavu wa kusikia na kuzungumza kuweza kuwasiiliana ilhali wanajikinga dhidi ya virusi vya corona. Barakoa hizo zina sehemu ambayo imeundwa na plastiki inayoruhusu mtu aliye na ulemavu wa aina hii kusoma jinsi midomo inavyosonga maneno yanapotamkwa na kupitia ivo kuweza kuwasiliana.

Related Stories