Juhudi za kupunguza mkurupuko wa homa ya Dengue Mombasa Part -1


Serikali ya kaunti ya Mombasa ilitumia wahudumu wa afya wakujitolea kutoa hamasa kwa jamii kuhusu umuhimu wa kuweka mazingira safi.Kila mhudumu wa afya alipewa nyumba 50 za kutembelea na kuwahamasisha wanajamii kuhusu maswala ya afya hasa homa ya dengue.Hatua iliyopelekea kupungua kwa visa vya homa ya dengue.

Related Stories