Artwork stating 'Education Destroys Barriers', 'We Demand Treatment', and 'I Need A Chance'

Search Results

You searched for: -

There are 3 results  for your search.  View and Refine Your Search Terms

  • Elimu ya wazee

    Elimu ya watu wazima imesaidia wakazi wa kaunti ya Bungoma kupata ajira.Hii ni baada ya wazee ambao walikuwa hawana elimu kurudi shuleni na kusoma. Kwa sasa wanathaminiwa katika jamii kama watu wenye tajriba baada ya kupata vyeti.Wengi wa waliopata elimu hiyo kwa sasa wamepata ajira sehemu mbalimbali.

    Read More

  • Kukabili uhaba wa vyakula

    Kampuni ya kusambaza mbolea ya Yara imetoa mafunzo kwa wakulima kaunti ya Bungoma kuhusu mbinu mpya za kisasa za kilimo.Wakulima 76 wamepata mafunzo ya mbinu za kisasa za kilimo ikiwa ni pamoja na kushauriwa kupanda mihogo ili kukabiliana na uhaba wa chakula.Na upanzi kwa kutumia mbinu ya kuweka nafasi inayotakikana kiukulima ili kupata mazao mazuri.

    Read More

  • Plastic pens for chickens reduce plastic pollution

    Utumizi wa plastiki kujenga nyumba ya vifaranga kaunti ya Bungoma inatunza mazingira pamoja na kupunguza gharama ya kujenga nyumba hizo. Kwa kutumia mabaki ya plastiki hususan mtungi za mafuta ya kupika, wafugaji wa kuku wanajenga sanduku zinazotumika kama nyumba ya kufuga vifaranga wa siku moja hadi mwezi mmoja.

    Read More