Elimu ya wazee


Elimu ya watu wazima imesaidia wakazi wa kaunti ya Bungoma kupata ajira.Hii ni baada ya wazee ambao walikuwa hawana elimu kurudi shuleni na kusoma. Kwa sasa wanathaminiwa katika jamii kama watu wenye tajriba baada ya kupata vyeti.Wengi wa waliopata elimu hiyo kwa sasa wamepata ajira sehemu mbalimbali.

Related Stories