Kukabili uhaba wa vyakula


Kampuni ya kusambaza mbolea ya Yara imetoa mafunzo kwa wakulima kaunti ya Bungoma kuhusu mbinu mpya za kisasa za kilimo.Wakulima 76 wamepata mafunzo ya mbinu za kisasa za kilimo ikiwa ni pamoja na kushauriwa kupanda mihogo ili kukabiliana na uhaba wa chakula.Na upanzi kwa kutumia mbinu ya kuweka nafasi inayotakikana kiukulima ili kupata mazao mazuri.

Related Stories