Wenye Akili Punguani Wapona Mombasa Part 2


Kwenye kipindi hiki cha pili, waliosaidika kutokana na hatua za shirika la kijamii Mombasa kunasua walio na akili punguani kutoka kwa hali hiyo wanashuhudia usaidizi walippokea. Kupitia matibabu maalum na makao matulivu wanapopokea mafunzo ya dini, usafi na jinsi ya kurejea kwa maisha ya kawaida, wameweza kutengamana tena na jamii na kupata ajira ilhali wengine ata wameanzisha familia jambo ambalo hawakuwa wanaweza tekeleza mbeleni.

Related Stories