Uhifadhi wa mbega Kenya


Kuhusisha wanafunzi katika uhifadhi wa wanyamapori haswa mbega, ambao wako kwa hatari ya kuangamia kutokana na uharibifu wa misitu, unasaidia kulinda wanyama wao. Wanafunzi wanaelimishwa kuhusu mbega, mila za wazee wa kaya na wanayofanya ndani ya misitu kisha kupelekwa msituni kusudi kufahamu misitu na athari za tabia nchi. Wanahimizwa kupanda miti haswa za kienyeji shuleni na nyumbani na pia kutokata miti ovyo.

Related Stories