Singe'nge ya Kasaine Inayotoa Suluhu ya Mzozo Kati ya Wanyamapori na Binadamu


Singe’nge inayotengenezwa kwa mabati madogo madogo ambayo hufungwa kwa kamba na kuzungushwa katika mpaka wa shamba imesaidia kupunguza mzozo kati ya wanyamapori na binadamu katika kaunti ya Taita Taveta. Mabati hayo madogo yanapogongana hutoa sauti inayotishia ndovu na wakati wa usiku mabati hayo yanang’aa kiasi cha kuwatishia ndovu wasifikie mashamba hayo.

Related Stories