Wenye Akili Punguani Wapona Mombasa Part 1


Shirika la kijamii Mombasa limesaidia zaidi ya watu hamsini walio na akili punguani kupona na kurejea kwa hali ya kawaida. -Kupitia matibabu maalum na makao matulivu wanapopokea mafunzo ya dini, usafi na jinsi ya kurejea kwa maisha ya kawaida, wengine wameoa na wengine wakapata ajira.

Related Stories