VIDIMBWI VYA TIJA SOJO FINAL


Shirika la wanyama pori Kaunti ya Kwale limeanzisha uchimbaji wa vidimbwi vya maji na kuhamasisha wananchi kuhusu tabia za wanyamapori ili kupunguza mizozo kati ya binadamu na wanyamapori.Vidimbwi vinachimbwa kwenye mbuga za wanyamapori na jamii kupewa matangi ya maji. Pia wanaendeleza hamasaha kupitia kwa vyombo vya habari na vijijini.

Related Stories