Rehabilitating River Thange in Makueni (to protect it from drying again due to misuse)


Vikundi mbalimbali vya wakazi wa kaunti ya Makueni vinatumiwa sana kutunza mazingira.Wanakijiji hushika doria ili watu wasikate miti kwa ajili ya kutengeneza makaa. Hivyo basi kutengeneza mazingira bora ya maji kurudi.Hadi kufikia sasa eneo hilo limeshuhudia ongezeko la miti takriban 4,000.

Related Stories