Market Center Providing Safe Breastfeeding Space


Kaunti ya kisumu na shirika la kijamii la Kidogo limejenga kituo cha kina mama kuingia na kunyonyesha watoto wao katika soko la Kibuye. Kituo hicho kinatoa mazingira mazuri na tulivu ya kina mama kunyonyesha watoto wao. Mama anapofika katika kituo hicho, kuna mhudumu wa afya anayeshika mtoto ili mama aoshe mikono, kisha apewe kiti akae anyonyeshe mtoto. Pia kuna jokovu la kuhifadhi maziwa ya mama kwa walio na maziwa mengi na wengetaka kukamua.

Related Stories