Makala Mazingira Baharini


Wavuvi kutoka eneo la Wasini Kaunti ya Kwale wanapanda miamba ya matumbawe mbadala baharini.Hii ni baada ya wao kupata mafunzo kutoka kwa watafiti wa sayansi kutoka shirika la KMFRI. Wanachukua mbegu kutoka baharini.kisha wanazipanda kwenye jiwe walilolitengeneza kwa kutumia simiti baada ya wiki 3 ikiwa imekauka vijana 18 wanapiga mbizi baharini na kupanda.

Related Stories