Improved health care in Makueni is reducing infant and maternal mortality rates in the county


Serikali ya kaunti ya Makueni imeboresha huduma za afya kwa wazazi na kupunguza visa vya vifo vya watoto wachanga na wajawazito. Uboreshaji huo ni pamoja na ujenzi wa zahanati kutoka 50 hadi 143 mashinani.Tangu kuboreshwa kwa huduma hizo za afya idadi ya wajawazito na watoto wachanga kuaga dunia imepungua.

Related Stories