Human Hair Mats


Kikundi cha vijana kutoka kaunti ya Kisumu wanatumia takataka za nywele za plastiki kutengeneza mikeka na mazulia. Vijana hao hufanya kazi na wanawake 5 wanaomiliki salon ambao hukusanya takataka hizo za nywele kisha wakawakabidhi vijana hao. Pia vijana hao hutoa mafunzo kwa vikundi vya watu Kisumu ili waendeleze kazi hiyo. Uvumbuzi huo umechangia pakubwa kudhibiti uchafu katika ziwa victoria.

Related Stories