Easy access to water in Makima Village Saves lives


Ukosefu wa maji katika wadi la Makima ilikuwa inalazimisha wakaazi kwenda masafa marefu kama kilomita tano kuyatafuta. Mmoja wapo wa hatari wa safari iyo ilikuwa kuliwa na mamba ambao walikuwa wanapatikana kwenye bwawa la maji. Lakini mradi wa kuleta maji karibu na wakaazi kupitia kuweka matangi katika soko mbali mbali yameondoa tatizo la maji na hatari iyo ya mamba.

Related Stories