Wagonjwa wa Moyo wa Muda Mrefu Wasimulia Maswahibu ya Matibabu, Kukata Tamaa Hadi Matumaini Mapya


Serikali ya Tanzania ilipeleka madaktari nchini India kupata mafunzo ili kukabiliana na ukosefu wa huduma za matibabu ya kibingwa hasa kwa magonjwa ya moyo. Juhudi hili limeweza kuchangia kuzalishwa kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ambayo huhudumia takribani wagonjwa 800 kila mwaka.

Related Stories