Vyama vya pesa mashinani wakati wa Corona


Ili kujiepusha na kubebewa vitu kwa kushindwa kulipa mkopo na riba za juu za benki na mifumo zingine rasmi za mkopo, wanawake wajasiria mali, wamejiunga na vyama vya nyanjani ambazo zinawasaidia kupata pesa za kuendeleza biashara zao wakati wa corona. Kupitia vikundi hivyo vya kuwekeza na kukopesha, wanachama wanatoa pesa kiasi flani kwa mwezi au kwa siku ambazo zinawasaidia kuimarisha biashara zao kupitia pesa za akiba na mikopo zisizokuwa na riba.

Related Stories