Uhifadhi wa mazingira umesababisha kujengwa kwa mkahawa unaovutia watalii Dabaso


Kupitia kuhifadhi mazingira, kikundi cha Dabaso creek conservation kimechangia ukuzaji wa utalii wa mazingira na kuimarika kwa maisha ya wanakijiji katika eneo hilo. Kwa kupanda mikoko, kusafisha fuo za bahari, kufuga kaa na kuelimisha jamii kuhusu utunzaji wa mazingira, wakaazi wameweza kupata ajira kutokana na hizi juhudi.

Related Stories