Teknolojia ya rangi katika kukabiliana na uhalifu Mombasa


Utumizi wa rangi aina mbali mbali kutambulisha boda boda ya eneo tofauti Mombasa imesaidia kupunguza kesi za uhalifu zinazohusiana na sekta hiyo.Ili kutofautisha wanabodaboda na raia ambao wanatumia piki piki kama njia ya usafiri na kusababisha uhalifu, rangi linapakwa kwenye bamba lenye nambari ya usajili pamoja na nambari mwafaka ya kujitambulisha ambayo inaonyesha pia eneo.

Related Stories