Wakulima wa maembe katika Kaunti ya Makueni wamesaidika kupunguza hasara baada ya Serikali ya kaunti kuweka mbinu mbali mbali ili kuwaepusha na hasara hizo zilizoletwa na ukosefu wa soko na mazao kuliwa na wadudu waharibifu. Kwa kuwaundia kiwanda cha kusagia maembe na kuwaelimisha jinsi ya kutumia mitego badala ya kemikali ili kunasa wadudu waharibifu, wakulima wa maembe wameweza kupanua soko yao na kufikia hadi soko za kigeni.
Read MoreDas deutsche Lieferkettengesetz bringt Unternehmen dazu, genauer zu beobachten, ob entlang ihrer Lieferketten Menschenrechtsverstöße passieren. Das Beispiel Kakao zeigt, wie die Zunahme an Informationen über die Produktion in Anbauländern es Konzernen schwerer macht, sich aus der Verantwortung zu ziehen.
Read Moreيصنع مزارعون في اليمن الأسمدة الطبيعية من مكونات طبيعية متوفرة محليا كبديل للأسمدة الكيمائية مرتفعة التكلفة. يساهم هذا الحل في تحسين خصوبة التربة وزيادة الإنتاجية ويقلل من تكاليف الزراعة وآثار التلوث البيئي.
Read MoreKupitia kuhifadhi mazingira, kikundi cha Dabaso creek conservation kimechangia ukuzaji wa utalii wa mazingira na kuimarika kwa maisha ya wanakijiji katika eneo hilo. Kwa kupanda mikoko, kusafisha fuo za bahari, kufuga kaa na kuelimisha jamii kuhusu utunzaji wa mazingira, wakaazi wameweza kupata ajira kutokana na hizi juhudi.
Read MoreKilimo kimesaidia sana kumaliza unyanyapaa na kutengwa kwa watu wanaouguwa ugonjwa wa ukimwi kaunti ya Kakamega. Baada ya vikundi vya watu wanaouguwa ugonjwa huo kupata mafunzo ya kilimo cha kisasa. Sasa wanapata mazao ambayo huuzia jamii na kwa kufanya hivyo wanakuwa na ukaribu nao.
Read MoreUhamasisho wa wakaaji wa Mbeere Kusini dhidi ya kuwachisha wanafunzi shule ili wasaidie katika kilimo na biashara ya miraa inazaa matunda. Kupitia mikutano za hadhara ambazo zinaandaliwa mara mbili kwa mwezi na idara ya utawala katika vijiji kupitia machifu na manaibu wao, wananchi wamekuwa wakielimishwa na kuhimizwa kuhusu umuhimu wa elimu kwa watoto na madhara ya kuwahusisha katika shughuli za miraa.
Read More"Kultiviertes" Fleisch, das im Labor aus Stammzellen gezüchtet wird, verursacht kaum Tierleid und schadet der Umwelt weit weniger als die bisherige Fleischproduktion. Allerdings muss die Technologie bis zur Marktreife noch einige Hürden überwinden.
Read MoreKikundi cha vijana kutoka kaunti ya Kisumu wanatumia takataka za nywele za plastiki kutengeneza mikeka na mazulia. Vijana hao hufanya kazi na wanawake 5 wanaomiliki salon ambao hukusanya takataka hizo za nywele kisha wakawakabidhi vijana hao. Pia vijana hao hutoa mafunzo kwa vikundi vya watu Kisumu ili waendeleze kazi hiyo. Uvumbuzi huo umechangia pakubwa kudhibiti uchafu katika ziwa victoria.
Read MoreKampuni ya kusambaza mbolea ya Yara imetoa mafunzo kwa wakulima kaunti ya Bungoma kuhusu mbinu mpya za kisasa za kilimo.Wakulima 76 wamepata mafunzo ya mbinu za kisasa za kilimo ikiwa ni pamoja na kushauriwa kupanda mihogo ili kukabiliana na uhaba wa chakula.Na upanzi kwa kutumia mbinu ya kuweka nafasi inayotakikana kiukulima ili kupata mazao mazuri.
Read MoreUtumizi wa plastiki kujenga nyumba ya vifaranga kaunti ya Bungoma inatunza mazingira pamoja na kupunguza gharama ya kujenga nyumba hizo. Kwa kutumia mabaki ya plastiki hususan mtungi za mafuta ya kupika, wafugaji wa kuku wanajenga sanduku zinazotumika kama nyumba ya kufuga vifaranga wa siku moja hadi mwezi mmoja.
Read MoreCollections are versatile, powerful and simple to create. From a customized course reader to an action-guide for an upcoming service-learning trip, collections illuminate themes, guide inquiry, and provide context for how people around the worls are responding to social challenges.
Name and describe your collection
Add Stories
Add external links at any time
Add to your collection over time and share!
Successfully added!