Shirika la kijamii la Human Development Agenda linapunguza uhalifu na mzozo unaotokana na vijana kukosa ajira kwa kuwapa ujuzi ili waweze kujitegemea kwa jamii. Kwa muda wa miezi sita hadi minane, vijana hususan wenye hawana kazi ya kufanya wanapewa ushauri nasaha na mafunzo ya kuwasaidia kujikimu kimaisha kama somo la biashara. Tayari vijana zaidi ya 130 wamewezeshwa.
Read MoreUhamasisho wa wakaaji wa Mbeere Kusini dhidi ya kuwachisha wanafunzi shule ili wasaidie katika kilimo na biashara ya miraa inazaa matunda. Kupitia mikutano za hadhara ambazo zinaandaliwa mara mbili kwa mwezi na idara ya utawala katika vijiji kupitia machifu na manaibu wao, wananchi wamekuwa wakielimishwa na kuhimizwa kuhusu umuhimu wa elimu kwa watoto na madhara ya kuwahusisha katika shughuli za miraa.
Read MoreMradi wa serikali ya Kaunti ya Kwale iitwayo "Elimu ni Sasa" imewawezesha zaidi ya watoto 32,000 wanaofanya vyema na hawawezi kulipa karo kupata elimu. Kupitia kwa bajeti ya kaunti, watoto werevu ambao ni mayatima ama wanatoka kwa familia maskini wanahifadhiwa kujiunga na shule ya upili na kulingana na jinsi wanavyotia bidii wanasomesha hadi chuo kikuu.
Read MoreKuhusisha wanafunzi katika uhifadhi wa wanyamapori haswa mbega, ambao wako kwa hatari ya kuangamia kutokana na uharibifu wa misitu, unasaidia kulinda wanyama wao. Wanafunzi wanaelimishwa kuhusu mbega, mila za wazee wa kaya na wanayofanya ndani ya misitu kisha kupelekwa msituni kusudi kufahamu misitu na athari za tabia nchi. Wanahimizwa kupanda miti haswa za kienyeji shuleni na nyumbani na pia kutokata miti ovyo.
Read MoreProgram H is a group educational methodology that works with young men through participatory workshops, role-playing, and debates to reflect on toxic masculinities and promote more equitable attitudes toward gender. It has been implemented in more than 30 countries since 2002, successfully facilitated by males who act as gender equity role models. This story is available in Spanish here: https://solu.news/24kd
Read MoreEl Programa H es una metodología educativa grupal que trabaja con hombres jóvenes a través de talleres participativos, juegos de rol y debates para reflexionar sobre masculinidades tóxicas y promover actitudes más equitativas hacia el género, implementada exitosamente en más de 30 países desde 2002. Las actividades estan dirigidas a hombres jóvenes y facilitadas por varones que actúan como modelos de equidad de género. Puedes leer este artículo en ingles aquí: https://solu.news/clsc
Read MoreUm dos destaques da revista é a reportagem em quadrinhos Além das Grades, que mostra como a educação tem contribuído para transformar a vida de pessoas em situação de prisão. A HQ apresenta dados sobre o aumento no número de detentos estudando e explica como funcionam as aulas e atividades de leitura dentro do presídio.
Read MoreA revista destaca iniciativas que promovem inclusão social e autonomia em comunidades ao reunir soluções transformadoras em diferentes áreas. Entre os projetos apresentados estão ações voltadas ao fortalecimento cultural de crianças e adolescentes, hortas comunitárias e formação profissional para mulheres negras e indígenas.
Read MoreUtumizi wa rangi aina mbali mbali kutambulisha boda boda ya eneo tofauti Mombasa imesaidia kupunguza kesi za uhalifu zinazohusiana na sekta hiyo.Ili kutofautisha wanabodaboda na raia ambao wanatumia piki piki kama njia ya usafiri na kusababisha uhalifu, rangi linapakwa kwenye bamba lenye nambari ya usajili pamoja na nambari mwafaka ya kujitambulisha ambayo inaonyesha pia eneo.
Read MoreKilimo kimesaidia sana kumaliza unyanyapaa na kutengwa kwa watu wanaouguwa ugonjwa wa ukimwi kaunti ya Kakamega. Baada ya vikundi vya watu wanaouguwa ugonjwa huo kupata mafunzo ya kilimo cha kisasa. Sasa wanapata mazao ambayo huuzia jamii na kwa kufanya hivyo wanakuwa na ukaribu nao.
Read MoreCollections are versatile, powerful and simple to create. From a customized course reader to an action-guide for an upcoming service-learning trip, collections illuminate themes, guide inquiry, and provide context for how people around the worls are responding to social challenges.
Name and describe your collection
Add Stories
Add external links at any time
Add to your collection over time and share!
Successfully added!