Kutoka kukata tamaa hadi matumaini tiba ya moyo


Kabla ya mwaka wa 2008, madaktari wa Tanzania hawakuwa wanafanya upasuaji wa moyo lakini baada ya kupata mafunzo kutoka India na Israel, wamepata ujuzi wa kuokoa maisha. Ujuzi huo umefanya kuzinduliwa kwa taasisi ya Jakaya Kikwete ambayo imebobea kwenye huduma za moyo huku wakiweza kushughulikia zaidi ya kesi 800 kwa mwaka.

Related Stories