Jinsi tiba kwa mbali imebadilisha sekta ya afya Makueni


Tiba kwa mbali umesaidia kukabiliana na uchache wa madaktari wa kitaalamu na kuimarisha sekta ya afya katika kaunti ya Makueni. Kupitia mfumo huo, wakaazi wameweza kupata huduma za kitaalamu ata katika hospitali za nyanjani na kuwapunguzia gharama ya kufunga safari za mbali ili kupata huduma hizo.

Related Stories