Kabla ya mwaka wa 2008, madaktari wa Tanzania hawakuwa wanafanya upasuaji wa moyo lakini baada ya kupata mafunzo kutoka India na Israel, wamepata ujuzi wa kuokoa maisha. Ujuzi huo umefanya kuzinduliwa kwa taasisi ya Jakaya Kikwete ambayo imebobea kwenye huduma za moyo huku wakiweza kushughulikia zaidi ya kesi 800 kwa mwaka.
Read MoreSerikali ya Tanzania ilipeleka madaktari nchini India kupata mafunzo ili kukabiliana na ukosefu wa huduma za matibabu ya kibingwa hasa kwa magonjwa ya moyo. Juhudi hili limeweza kuchangia kuzalishwa kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ambayo huhudumia takribani wagonjwa 800 kila mwaka.
Read MoreTiba kwa mbali umesaidia kukabiliana na uchache wa madaktari wa kitaalamu na kuimarisha sekta ya afya katika kaunti ya Makueni. Kupitia mfumo huo, wakaazi wameweza kupata huduma za kitaalamu ata katika hospitali za nyanjani na kuwapunguzia gharama ya kufunga safari za mbali ili kupata huduma hizo.
Read MoreIli kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu, zaidi ya kuhimiza wakaaji kujenga choo, kaunti ya Embu pia inaelimisha wanakijiji kutumia choo na kukuwa wasafi kupitia wanafunzi, viongozi wa vijiji na madaktari wa nyanjani. Kupitia mbinu hizi idara ya afya imeweza kupunguza kesi za kipindupindu.
Read MoreKilimo kimesaidia sana kumaliza unyanyapaa na kutengwa kwa watu wanaouguwa ugonjwa wa ukimwi kaunti ya Kakamega. Baada ya vikundi vya watu wanaouguwa ugonjwa huo kupata mafunzo ya kilimo cha kisasa. Sasa wanapata mazao ambayo huuzia jamii na kwa kufanya hivyo wanakuwa na ukaribu nao.
Read MoreSerikali ya kaunti ya Makueni imeboresha huduma za afya kwa wazazi na kupunguza visa vya vifo vya watoto wachanga na wajawazito. Uboreshaji huo ni pamoja na ujenzi wa zahanati kutoka 50 hadi 143 mashinani.Tangu kuboreshwa kwa huduma hizo za afya idadi ya wajawazito na watoto wachanga kuaga dunia imepungua.
Read MoreHuduma za upangaji uzazi zinazotolewa kaunti ya Kakamega zimesaidia kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wachanga.Wahudumu wa afya nyanjani walianza kuwaelimisha wakazi wa Kakamega kuhusu mbinu za upangaji uzazi.Kwa Sasa visa vya kina mama wanaojifungua na kufariki vimepungua.
Read MoreMbinu mbalimbali za kiafya zilitumika kuzuia kusambaa kwa mbu anayesababisha homa ya chikungunya kutoka kaunti ya Mombasa hadi kaunti jirani ya Kilifi.Hamasa hizo zilitolewa na wahudumu wa afya wa nyanjani wa kujitolea katika gatuzi ndogo 4 za Rabai.Ambapo wahudumu walizungukia nyumba kuhakikisha kuwa mazingira ni safi na kwamba hakuna maeneo ya mbu kuzaana.
Read MoreKufuatia mkurupuko wa homa ya Chikungunya kaunti ya Mombasa, serikali ya kaunti iliweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na mkurupuko huo. Ikiwa ni pamoja na utumizi wa magari ya kupuliza dawa kuua mbu.Magari 5 yalitumiwa katika zoezi hilo ambapo yalizunguka maeneo bunge yote 6 kaunti ya moja kwa kipindi cha mwezi mmoja.
Read MoreIli kukabili mkurupuko wa homa ya dengue, serikali ya kaunti ya Mombasa pia iliajiri vijana waliozibua mitaro ya maji taka na kutibu visima vya maji kila eneo bunge. Wakazi pia walishauriwa kujipaka mafuta ya kufukuza mbu na kuvaa nguo ndefu za kufunika miguu.
Read MoreCollections are versatile, powerful and simple to create. From a customized course reader to an action-guide for an upcoming service-learning trip, collections illuminate themes, guide inquiry, and provide context for how people around the worls are responding to social challenges.
Name and describe your collection
Add Stories
Add external links at any time
Add to your collection over time and share!
Successfully added!