Kabla ya mwaka wa 2008, madaktari wa Tanzania hawakuwa wanafanya upasuaji wa moyo lakini baada ya kupata mafunzo kutoka India na Israel, wamepata ujuzi wa kuokoa maisha. Ujuzi huo umefanya kuzinduliwa kwa taasisi ya Jakaya Kikwete ambayo imebobea kwenye huduma za moyo huku wakiweza kushughulikia zaidi ya kesi 800 kwa mwaka.
Read MoreSerikali ya Tanzania ilipeleka madaktari nchini India kupata mafunzo ili kukabiliana na ukosefu wa huduma za matibabu ya kibingwa hasa kwa magonjwa ya moyo. Juhudi hili limeweza kuchangia kuzalishwa kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ambayo huhudumia takribani wagonjwa 800 kila mwaka.
Read MoreTiba kwa mbali umesaidia kukabiliana na uchache wa madaktari wa kitaalamu na kuimarisha sekta ya afya katika kaunti ya Makueni. Kupitia mfumo huo, wakaazi wameweza kupata huduma za kitaalamu ata katika hospitali za nyanjani na kuwapunguzia gharama ya kufunga safari za mbali ili kupata huduma hizo.
Read MoreNeben älteren Personen haben auch Menschen mit psychischen Erkrankungen ein stark erhöhtes Sterberisiko bei Hitzewellen. Städte wie Athen zeigen, wie sich diese Gruppen mit Aufklärungsarbeit, zentralen Abkühlungsräumen, einem Warnsystem und speziellen Apps schützen lassen.
Read MoreUchimbaji wa vyoo na kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kujenga na kutumia vyoo kumesaidia kuangamiza ugonjwa wa kipindupindu kaunti ya Embu.Idara ya afya inatumia madaktari wa nyanjani wakujitolea kuelemisha watu umuhimu wa kujenga na kutumia choo kwa njia nzuri.Wanahakikisha kuwa kila boma limejenga angalau choo kimoja.
Read MoreKilimo kimesaidia sana kumaliza unyanyapaa na kutengwa kwa watu wanaouguwa ugonjwa wa ukimwi kaunti ya Kakamega. Baada ya vikundi vya watu wanaouguwa ugonjwa huo kupata mafunzo ya kilimo cha kisasa. Sasa wanapata mazao ambayo huuzia jamii na kwa kufanya hivyo wanakuwa na ukaribu nao.
Read MoreSerikali ya kaunti ya Makueni imeboresha huduma za afya kwa wazazi na kupunguza visa vya vifo vya watoto wachanga na wajawazito. Uboreshaji huo ni pamoja na ujenzi wa zahanati kutoka 50 hadi 143 mashinani.Tangu kuboreshwa kwa huduma hizo za afya idadi ya wajawazito na watoto wachanga kuaga dunia imepungua.
Read MoreHuduma za upangaji uzazi zinazotolewa kaunti ya Kakamega zimesaidia kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wachanga.Wahudumu wa afya nyanjani walianza kuwaelimisha wakazi wa Kakamega kuhusu mbinu za upangaji uzazi.Kwa Sasa visa vya kina mama wanaojifungua na kufariki vimepungua.
Read MoreUkosefu wa maji katika wadi la Makima ilikuwa inalazimisha wakaazi kwenda masafa marefu kama kilomita tano kuyatafuta. Mmoja wapo wa hatari wa safari iyo ilikuwa kuliwa na mamba ambao walikuwa wanapatikana kwenye bwawa la maji. Lakini mradi wa kuleta maji karibu na wakaazi kupitia kuweka matangi katika soko mbali mbali yameondoa tatizo la maji na hatari iyo ya mamba.
Read MoreMbinu mbalimbali za kiafya zilitumika kuzuia kusambaa kwa mbu anayesababisha homa ya chikungunya kutoka kaunti ya Mombasa hadi kaunti jirani ya Kilifi.Hamasa hizo zilitolewa na wahudumu wa afya wa nyanjani wa kujitolea katika gatuzi ndogo 4 za Rabai.Ambapo wahudumu walizungukia nyumba kuhakikisha kuwa mazingira ni safi na kwamba hakuna maeneo ya mbu kuzaana.
Read MoreCollections are versatile, powerful and simple to create. From a customized course reader to an action-guide for an upcoming service-learning trip, collections illuminate themes, guide inquiry, and provide context for how people around the worls are responding to social challenges.
Name and describe your collection
Add Stories
Add external links at any time
Add to your collection over time and share!
Successfully added!