Kilimo kimesaidia sana kumaliza unyanyapaa na kutengwa kwa watu wanaouguwa ugonjwa wa ukimwi kaunti ya Kakamega. Baada ya vikundi vya watu wanaouguwa ugonjwa huo kupata mafunzo ya kilimo cha kisasa. Sasa wanapata mazao ambayo huuzia jamii na kwa kufanya hivyo wanakuwa na ukaribu nao.
Read MoreUhamasisho wa wakaaji wa Mbeere Kusini dhidi ya kuwachisha wanafunzi shule ili wasaidie katika kilimo na biashara ya miraa inazaa matunda. Kupitia mikutano za hadhara ambazo zinaandaliwa mara mbili kwa mwezi na idara ya utawala katika vijiji kupitia machifu na manaibu wao, wananchi wamekuwa wakielimishwa na kuhimizwa kuhusu umuhimu wa elimu kwa watoto na madhara ya kuwahusisha katika shughuli za miraa.
Read MoreKikundi cha vijana 4 kutoka kaunti ya Kisumu wanatengeneza mafuta ya kupikia kwa kutumia mabaki/uchafu wa samaki. Uchafu huo unachukuliwa kutoka soko la Jubilee na soko la samaki lililoko Obunga kisumu na kupeleka katika kiwanda chao cha kutengeneza mafuta hayo.Kilo moja ya matumbo ya samaki ina uwezo wa kuzalisha milimita 600 ya mafuta ya omega 3.
Read MoreUtumizi wa plastiki kujenga nyumba ya vifaranga kaunti ya Bungoma inatunza mazingira pamoja na kupunguza gharama ya kujenga nyumba hizo. Kwa kutumia mabaki ya plastiki hususan mtungi za mafuta ya kupika, wafugaji wa kuku wanajenga sanduku zinazotumika kama nyumba ya kufuga vifaranga wa siku moja hadi mwezi mmoja.
Read MoreMaistą gaminti mėgstantys migrantai sklandžiai integruojasi į Belgijos visuomenę, nes jiems padeda pripažintas ir garsus virtuvės šefas. 4 mėnesius jis moko atvykėlius virtuvės meistriškumo, interpretuoja tradicinę migrantų virtuvę kartu kurdamas naujus patiekalus, dalį apmokytųjų paskui įdarbina pats arba išleidžia į darbo rinką, kur jie tampa geidžiamais darbuotojais kituose restoranuose ir maisto įstaigose.
Read MoreSinge’nge inayotengenezwa kwa mabati madogo madogo ambayo hufungwa kwa kamba na kuzungushwa katika mpaka wa shamba imesaidia kupunguza mzozo kati ya wanyamapori na binadamu katika kaunti ya Taita Taveta. Mabati hayo madogo yanapogongana hutoa sauti inayotishia ndovu na wakati wa usiku mabati hayo yanang’aa kiasi cha kuwatishia ndovu wasifikie mashamba hayo.
Read MoreUma cooperativa foi criada para fortalecer e facilitar a comercialização de produtos da floresta. A instituição funciona como uma central que apoia a logística da produção e a comunicação entre as comunidades indígenas e os clientes.
Read MoreDas deutsche Lieferkettengesetz bringt Unternehmen dazu, genauer zu beobachten, ob entlang ihrer Lieferketten Menschenrechtsverstöße passieren. Das Beispiel Kakao zeigt, wie die Zunahme an Informationen über die Produktion in Anbauländern es Konzernen schwerer macht, sich aus der Verantwortung zu ziehen.
Read Moreيصنع مزارعون في اليمن الأسمدة الطبيعية من مكونات طبيعية متوفرة محليا كبديل للأسمدة الكيمائية مرتفعة التكلفة. يساهم هذا الحل في تحسين خصوبة التربة وزيادة الإنتاجية ويقلل من تكاليف الزراعة وآثار التلوث البيئي.
Read MoreJovens indígenas iniciaram um projeto de criação de galinhas para contribuir com a alimentação da comunidade.
Read MoreCollections are versatile, powerful and simple to create. From a customized course reader to an action-guide for an upcoming service-learning trip, collections illuminate themes, guide inquiry, and provide context for how people around the worls are responding to social challenges.
Name and describe your collection
Add Stories
Add external links at any time
Add to your collection over time and share!
Successfully added!