Family planning helping to reduce maternal, neonatal deaths in Kakamega county Part 2


Wanaume kaunti ya Kakamega wameanza kutumia mbinu za upangaji uzazi.Hii ni baada ya wao kupata elimu na mafunzo ya upangaji uzazi kutoka kwa idara ya afya ya kaunti.Wahudumu wa afya wa nyanjani wanawaelimisha kuwa mbinu za upangaji uzazi sio kwa wanawake peke yake,bali pia kuna mbinu wanaume wanaweza kutumia kupanga uzazi.

Related Stories