Ujio wa ugatuzi umepunguza changamoto zinazoandamana na safari za mbali kutafta huduma za afya katika Kaunti ya Kwale. Kupitia mfumo hii, serikali ya kaunti imeweza kutenga fedha za kujenga zaid ya vituo vya afya 37 katika maeneo mbali mbali na kurahisisha jinsi wakaaji wanapata huduma za afya. Vituo hivyo vinapeana huduma mbali mbali za afya ikiwemo huduma za kujifungua, madawa na maabara na kadhalika.
Read MoreKupitia chama cha kuwekeza pesa kwa jumla, kundi la wanawake wenye watoto walemavu wanatiana moyo na kuinuana kiuchumi baada ya kuachwa na waume wao. Kila Jumamosi wanachama hukutana na kuchangisha angalau shilingi mia moja kila mmoja. Pesa hiyo hupeanwa kwa aliyetembelewa ilhali nyingine huwekwa kama akiba ambayo mwanachama anaweza kupewa kama mkopo au msaada wakati wa dharura.
Read MoreBarakoa maalum yasaidia zaidi ya watu 3,000 wenye ulemavu wa kusikia na kuzungumza kuweza kuwasiiliana ilhali wanajikinga dhidi ya virusi vya corona. Barakoa hizo zina sehemu ambayo imeundwa na plastiki inayoruhusu mtu aliye na ulemavu wa aina hii kusoma jinsi midomo inavyosonga maneno yanapotamkwa na kupitia ivo kuweza kuwasiliana.
Read MoreDawa za tiba kinga zinasaidia kupunguza madhara ya ugonjwa wa kichocho katika kizazi kipya maeneo ya Lake zone nchini Tanzania. Serikali inakinga watoto kutokana na madhara za ugonjwa huu kupitia mradi wa kupeana dawa za Prazequantel na albendazole bure katika shule za msingi na zahanati. Licha ya haya, wanafunzi pia wanapewa maji safi ya kunywa mashuleni ili kuwaepusha na maambukizo mapya.
Read MoreMoradores de Lisboa se unem para redesenhar o espaço público com foco nos pedestres, e não nos carros. Alguns projetos já foram colocados em prática graças a reivindicações, diálogo e planejamento.
Read MoreKabla ya mwaka wa 2008, madaktari wa Tanzania hawakuwa wanafanya upasuaji wa moyo lakini baada ya kupata mafunzo kutoka India na Israel, wamepata ujuzi wa kuokoa maisha. Ujuzi huo umefanya kuzinduliwa kwa taasisi ya Jakaya Kikwete ambayo imebobea kwenye huduma za moyo huku wakiweza kushughulikia zaidi ya kesi 800 kwa mwaka.
Read MoreLa WBO Italcables era un'azienda sull'orlo del fallimento. Quando i lavoratori si sono assunti la responsabilità del cambiamento l'azienda è rinata creando occupazione, generando valore economico e sociale. Attraverso il modello del workers buyout, 51 su 60 dipendenti hanno investito 25mila euro a testa trasformando l’impresa in una cooperativa resiliente e sostenibile. Oggi lavorano in azienda oltre 70 persone.
Read MoreA revista destaca iniciativas que promovem inclusão social e autonomia em comunidades ao reunir soluções transformadoras em diferentes áreas. Entre os projetos apresentados estão ações voltadas ao fortalecimento cultural de crianças e adolescentes, hortas comunitárias e formação profissional para mulheres negras e indígenas.
Read MoreSeit die Stadt Rochester im US-Bundesstaat New York begonnen hat, die Stadtautobahn zurückzubauen, ist dort Platz für Bürgersteige und Radwege. Zudem kommt die Natur langsam zurück – und der Verkehrskollaps blieb aus. Doch das Beispiel zeigt auch, wie wichtig es ist, die Bürger in die Planungen miteinzubeziehen.
Read MoreFamílias que vivem em comunidades pobres passam a ter acesso à energia elétrica graças a um projeto que reúne entidades da sociedade civil. A eletricidade é gerada a partir de energia solar.
Read MoreCollections are versatile, powerful and simple to create. From a customized course reader to an action-guide for an upcoming service-learning trip, collections illuminate themes, guide inquiry, and provide context for how people around the worls are responding to social challenges.
Name and describe your collection
Add Stories
Add external links at any time
Add to your collection over time and share!
Successfully added!